kwangu mfumo wa barabara na magari ya mwendokasi ni hatua kubwa ya kijamii na kiuchumi, penye kustahili pongez, pongezi itolewe
Nchi imepitia mengi toka ipate uhuru wake 1961 ni mengi yametendeka, ikiwamo mabadiliko ya kielimu, uchumi na hata mtazamo wa mtu mmoja mmoja, kiungo kikubwa katika ukuaji huu wa nchi imechangiwa na ongezo la idadi ya watu nchini, na katika sehemu zenye fursa nyingi hasa katika majiji. Hata hivyo ilisababisha msongamano ambapo ni adhaa kubwa kupelekea shughuli za kiuchumi na kijamii kuchelewa.
kwangu mfumo wa barabara na magari ya mwendokasi ni hatua kubwa ya kijamii na kiuchumi, penye kustahili pongez, pongezi itolewe
kwangu mfumo wa barabara na magari ya mwendokasi ni hatua kubwa ya kijamii na kiuchumi, penye kustahili pongez, pongezi itolewe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment