Sponsors

Kila mtu huwa na malengo katika maisha, malengo yakiwa katika mgawanyo wa muda mrefu na wa muda mfupi

malengo ya mda mrefu huweza kuwekwa katika vitu vinavyohitaji muda kuvikamilisha mfano malengo ya masomo, biashara ila pia malengo hayo hayo huweza kuwekwa katika malengo ya mda mfupi, kwa kufata vigezo vya uhakiki wa kila jambo litendekalo,

Maranyingi malengo yawekwayo na mtu
:- Hukawia kutimizwa
:-Hupoteza uzuri na ari
:-Hupotezwa na uelekeo wa elimu
:-Hukosa nguvu ya kimawazo kutoka kwa watu muhimu

Hivyo basi sababu ni Vingi sana za kuweza kupoteza malengo ya mtu, na mwisho mtu kuishi ili siku iishe tu.

Hivyo nimuhimu sana kushikilia malengo yako hadi mwisho wa uhai, usikubali malengo yako yapotee na kudidimia kwa sababu za mda mfupi au mrefu
(TAMBUA WANAOSHINDA KATIKA MAISHA SI WENYE HEKIMA PEKEE, MALI BALI WASIOKUBALI KUSHINDWA HATA KATIKA MAGUMU YAO)

Malengo ya Maisha

No comments:

Post a Comment